Mpiga picha Maarufu wa Brazili @leonardosens alifanikiwa kupiga picha ya ajabu ya sanamu ya Kristo Mkombozi maarufu kama #christtheredeemer huko Rio de Janeiro, ikionekana kuushika mwezi kwa mikono yake iliyonyooshwa.
Picha hii imetumia Maiaka 3 kupatikana kutokana na juhudi zake za bila kuchoka huku akipanga kwa uangalifu na kusoma mpangilio wa mwezi eneo hilo, imepata sifa za kimataifa Duniani kote kwa muundo wake wa kupendeza zaidi
Hivi unahisi alitumia njia gani Mpiga picha huyu?
NA OMAR HAMISI