MODRICK,MSHINDI WA BALLON D'OR MWAKA WA 2018, KUONDOKA BERNABEU
By Dayo Radio
Published on 23/05/2025 17:13
Sports

Raia wa kroatia, nahodha na kiungo mushambulizi wa Real Madrid zungumzia Luka modrick ametangaza kuondoka ughani bernabeu mwisho wa msimu huu. 

Akijiunga na Madrid mwaka wa 2012 Luka ameishindia klabu hio Mataji mbalimbali ikiwemo kombe la mabingwa barani ulaya mara sita.

weledi wake wa kupiga mapende ya pasi kutumia ncha ya nje la tuu lake, mikiki ya ikabu na hata kuitikisha kamba ya wapinzani wake ni jambo litatamaniwa sana kule Santiago. 

Katika safu ya kati, Luka amekuwa ngome imara huku akisaidia klabu hio kuwalea vijana wadogo ughani humo. Ama kweli modrick amekuwa imara na mwenye weledi wa juu mbele ya lango. Kwaheri modrick , uliguza mwingi

Makala na Mbithi David, mchambuzi wa makala ya spoti DAyo radio, Dayo viwanjani

Comments
Comment sent successfully!