Kinda wa wingereza na beki wa Liverpool zungumzia Trient Alexander Arnold anamezewa mate na vigogo wa wispanyola zungumzia Real Madrid baada ya nyota huyu kukiri kwenye mtandao wake wa (X) kuwa mda wake anfield unatamatika mwisho wa msimu huu.

Ikumbukwe kwamba Anold ameichezea the reds ama ukipenda Liverpool kwa mda wa miaka ishirini akijiunga na klabu hiyo akiwa na umri wa miaka sita na kuishindia klabu io taji kadhaa ikiwemo champions league. Je Hala Madrid watafika bei au Trient atatua kwingine?? Tupe maoni yako kwenye Dayo viwanja ukiwa na kikosi kizima cha Dayo radio