KIZAAZAA KULE SAN SIRO
By Dayo Radio
Published on 06/05/2025 14:13
Sports

Baada ya mapumziko kwa mda wa juma moja, kombe lenye masikio mareefu zaidi nchini zungumzia champions league yatarajiwa kurejea usiku wa leo. Kule san siro, Vijana wa Hansi flick zungumzia Barcelona waalikwa ugenini na wenyeji intermillan.

Ikumbukwe kwamba wawili hawa walikutana kwenye mkondo wa kwanza mechi ikitamatika sare ya mabao matatu kwa matatu. Swali kuu labakia moja tu, je ni lamine yamal kinda mwispanyola huyu ambaye atacheka na nyavu ama ni Marcus Thuram ambaye ataiweka inter kifua mbele na kufuzu katika fainali?... Ungana na kikosi kizima cha Dayo radio viwanjani tukujuze mengi.

Comments
Comment sent successfully!