MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAADHIMISHWA MWAKIRUNGE, MOMBASA KWA UONGOZI WA MAWAZIRI WA KAUNTI
News
Published on 08/03/2025

Waziri wa Utawala wa Utumishi wa Umma, Vijana, Jinsia, Michezo na Huduma za Kijamii kaunti ya Mombasa Kenneth Ambani,akiwa ameambatana na waziri wa maji kaunti ya Mombasa Emilly Achieng na mwakilishi wadi ya Mwakirunge Mwinyi Mtoto wameongoza sherehe ya siku ya wanawake ulimwenguni wadi ya Mwakirunge kaunti ya Mombasa.

Comments
Comment sent successfully!

Chat Online