KIZAZAA KIVUKONI
News
Published on 06/02/2025

Mamlaka ya KPA yatoa makataa ya saa 24 kwa kampuni ya kibinafsi ya Ismax inayotoa huduma za usalama kivuko cha Likoni Feri kufafanua kilichojiri katika kivuko hicho jana.

 

Hii ni baada ya walinzi wa kivuko hicho kukabiliana kwa kupuriana mawe na abiria waliyokuwa wakivuka kutoka Likoni wakielekea kisiwani baada ya sintofahamu kuibuka baina yao.

 

Kulingana na walioshuhudia sintomfahamu hiyo walinzi wa kivuko hicho cha Likoni walishindwa kuwadhibiti abiria waliotaka kuingia ndani ya Ferry hapo janaMamlaka ya KPA yatoa makataa ya saa 24 kwa kampuni ya kibinafsi ya Ismax inayotoa huduma za usalama kivuko cha Likoni Feri kufafanua kilichojiri katika kivuko hicho jana.

 

NA HARRISON KAZUNGU.

Comments
Comment sent successfully!

Chat Online