Shirika lisilo la kiserikali (NGO) Dream acheavers organisation waliandaa hafla pevu kukongamana na wakaazi wa ziwa la ng'ombe kata ndogo ya nyali kutoa uhamasisho kuhusu changamoto na hatari za mabadiliko ya tabianchi
Hafla hiyo ikiwa imehudhuriwa na washikadau mbali mbali akiwemo Afisa afya wa dhulma za kijinsia kata ndogo ya nyali Razia Miraj,amesema kwamba mafuriko ziwa la ng'ombe limekuwa kero kwa wakaazi na kusababisha wakaazi kuhama majumba Yao na kukimbilia katika maeneo yaliyo salama mbinu inayo changia dhulma za kijinsia kuchipuka.
NA PETER MBONGE