Zaituni ni moja kati ya chakula chenye faida nyingi za kiafya kutokana nwingi wa virutubisho kama
protini, sukari, fati, vitamini E, madini ya chuma, shaba, calcium, na sodium.
Ulaji wa zaituni husaidia kulinda mwili dhidi ya saratani na mashambulizi ya vimelea,
Pia kuboresha afya ya moyo na mifupa, kudhibiti fati kwenye damu, na kushusha presha ya damu sasa je ni faida zipi za zaituni?
Faida za Kiafya za Kula Zaituni kati ya faida za kula tunda zaituni ni
1.Virutubisho Mbalimbali
2.Kinga Dhidi ya Saratani na Mashambulizi ya Vimelea.
3.Afya ya Moyo
4.Afya ya Mifupa
5.Kudhibiti Fati kwenye Damu
6.Kushusha Presha ya Damu
Je Ulishawai kula Tunda zaituni?
NA OMAR HAMISI