Kongamano la wataalamu wa matibabu kutoka umoja wa afrika mashariki lilofanyika mjini Mombasa latamatika Leo.
Kongamano Hilo lililohusisha wajumbe na wataalamu wa matibabu kutoka nchi za afrika mashariki,limeongozwa na Waziri wa afya nchini Daktari Debora Mulingo.Akizungumzo na wanahabari Waziri Mulingo amesema kwamba muungano huo unapania kuboresha sekta ya afya nchini na afrika mashariki.
Vile vile amesema kwamba uhaba wa chanjo ya kifua kikuu BCG kwa watoto,limeshuhulikiwa na kuhakikisha chanjo hiyo inafikia wakenya kuanzia wiki mbili zijazo.
NA HARRISON KAZUNGU.