Katika video inayo sambaa mitandaoni, wakaazi wa Mombasa wakiomba haki itendeke kwa blogger mmoja katika kaunti hiyo anayejulikana kwa jina Bruce John. Baadhi ya washukiwa wakiwemo Mohamed Hussein kutoka kamati kuu ya ardhi ya kaunti ya Mombasa wakamatwa siku ya jana huku uchunguzi ukianzishwa.
Mkurugenzi mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai katika kaunti ya Mombasa Adan Guyo, asema ya kwamba uchunguzi umeanzishwa, upande mwingine naye Mbunge wa Nyali katika kaunti ya Mombasa Mohammed Ali (Jicho Pevu) asema hali Bruce John alivyo fanyiwa sio sawa, aomba widara zote za usalama ziweze kufuatilia kesi hii na wapelelezi wafanye kazi yao.
Jicho Pevu akiongeza akisema, "DCI waunganishe, connecting dots of intelligence to tell us who are the people behind all these things."