Ajali mbaya yashuhudiwa eneo la Mida baada ya Gari lililokuwa linatoka Malindi kuelekeza Mombasa kuhusika kwenye ajali.
Kondakta ameripotiwa kufariki papo hapo huku abiria wengine wengi wao wakiwa wanafunzi wakiwa kwenye hali mahututi.
Manusura wanapokea matibabu katika hospitali ya Malindi.